Unaagiza jezi china au Kkoo za msimu mpya(1.5)
Unachukua jezi 20-50 za Simba,Azam na Yanga kwakuwa feki za bongo wanakamata tufanye (700k)
Unanunua hii printer ya Jezi sidhani kama inavuka 2M
Unaanza kuprint jezi majina ya watu kikawaida ni buku kwa kila herufi kwahio mtu akileta neno lenye herufi 6 ni 5K unampunguzia jumlisha bei ya jezi unauza jezi ilioprintiwa kwa 30-32k za ulaya na Uarabuni kwasasa ligi inakua
Biashara ikikua unaongeza mashine za kuprint na picha unanunua mzigo wa plain T-shirt unaanza kuprint picha kaliii za Mt.kilimanjaro,Bendera picha za watu
Baada ya mwaka faida lazima irudi