DT Dobie unveils new Volkswagen model manufactured in Thika, Kenya

1.How many raw materials are sourced from kenya?
2.G.o.k will be the main market for those overpriced vw as it has been with peugeots, No?
3.How many Jobs created for them to be given a tax holiday? -less than 0.0001 % of mechanics/ engineers who work on Ex used JAPAN
 
Summarise, please. What exactly is your point? Kwamba wahamie dona kantri au?
 
No Tax breaks / Holidays from TZ Government for goods who's market (New Cars) is 95% government & Government institutions
Kwa viwanda vipi? Hebu kawaambie wenye vyerehani, vinyozi, saluni na blender za juice kuhusu hivyo vitu unavovizungumzia.
Hakuna tax holidays au tax break ambazo viwanda vya vya kutengeneza magari Kenya vimepewa na GOK. Acha porojo na wivu. Walichofuta ni ile 25% import duty ambayo huwa inatozwa magari mapya yanayo agizwa kutoka nje. Very pratical.
 
Market for new cars in kenya is 5%
Out of this 90% is GOK + GOK institutions.
So in other words, you are using companies to steal tax from government..
Economics is not your forte..Uza ngombe pale namanga
 
Market for new cars in kenya is 5%
Out of this 90% is GOK + GOK institutions.
So in other words, you are using companies to steal tax from government..
Economics is not your forte..Uza ngombe pale namanga
Hebu leta facts na takwimu, sio porojo na mafeelings wewe mchumi uchwara. Ukipenda pia unaweza ukamnukuu Selena Gomez. Haya magari ni ya bei rahisi zaidi kwa wanunuzi hapa Kenya, iwe raia au mashirika ya kiserikali, zaidi ya magari mapya kama haya yanayoagizwa kutoka nje.
 
Leo lugha yenu ya kujitambia imekupiga chenga? maana hujui maana ya Assembling na manufacturing.
 
Asante kwa majibu Mkuu,ila lengo la swalilanguilikuwa kwa mleta mada,yeye amesema manufactured,lkn kwenye maelezo kinaelzwa assembly,
 
Assembling ni kuunganisha vitu tayari vilivyokuwa manufactured na kuviweka pamoja na kupata product husika.


Manufacturing ni kuibadilisha malighafi na kuwa product.

Mfano, kuchimba madini ya chuma na kuyaprocess kutengeza mlango wa gari. Hio ndio manufacturing.

Assembling ni kuuchukua mlango wa gari na kuuweka kwenye fremu ya gari.

Ama vipi?
 
Bei ya hii chuma kwa pesa ya tanzania ni kama sh ngapi??

sent from toyota Allex
 
I was thinking the same. Waendelee kutengenezewa wenye hela zao.
Imagine spending 90m (bila kodi) for a Volkswagen Tiguan! Ntakuwa mwenda wazimu.
Haijatengenezewa wadanganyika. Usife kwa chuki bure humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…