Mkikuyu- Akili timamu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,310
- 7,464
1.How many raw materials are sourced from kenya?Assemby ni process moja tu kwenye shughuli yote ya manufacturing kwenye viwanda. Sidhani kwenye nyakati hizi kuna kampuni, kutoka kwa nchi yeyote ile, ambayo inaweza ikajivunia kwamba inajitengenezea 'heavy machinery' au vitu kama magari na hadi simu, tablets, laptops kwa 100%. Utapata hata kwenye engines tu za magari kutoka km. Ujerumani kuna parts kutoka Austria, Turkey, China n.k, n.k. Ndio maana hatua zitakazofata baada ya hivi viwanda kufanikiwa kwenye sekta hii ya kutengeneza haya magari 'locally' nchini Kenya, ni viwanda vya kutengeneza parts pia.
2.G.o.k will be the main market for those overpriced vw as it has been with peugeots, No?
3.How many Jobs created for them to be given a tax holiday? -less than 0.0001 % of mechanics/ engineers who work on Ex used JAPAN