Kwa yeyote mwenye ufaham! Hivi DSTV usipolipia zile FTA Channels zitaonekana free au?? Na kama sio hivyo ni kwa nini?? ... Ila naona only TBC inaonekana, ni kweli au ni leo tu??
Hiyo TBC ulioiona ipo wamesahau kuikata. FTA zipi untaka. Maana kwa TZ FTA ni clouds, ten, itv nk ambazo haziko kabisa dstv..... FTA zipo chache kwa DSTV ni za kichina mbili sijui na kuna nyingine moja au 2...In short hazina maana bora kulipia tu.