Jalema
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 594
- 869
Nilinunua kishumbusi chao tar 13/01/2018 wakanipa huduma ya bure ya kifurushi cha bomba. Hadi tar 01/02/2018 nikaamua kulipia kifurushi cha family kwa sh 39000 nikasema ngoja nijaribu nione huduma zao. Leo tar 14.02.2018 wamesitisha huduma wakaniachia channel moja tu no 100 dish.
Nimetumia vocha zaid ya sh 5000 nikiongea na huduma kwa wateja wakaniambia niongeze elf 16500 ili niweze kuendelea na kifurushi cha family nikaona sio kesi nikalipia mpaka sasa hiv hamna kitu nikipiga total ya fedha nilizolipia ni 55500 na dikoda yao haioneshi kitu zaid ya channel moja tu.
Kuweni makini wadau hawa watu sio wema hata kidogo nikipiga simu kila muhudumu ananiambia la kwake