habari wakuu,nina simu ya nokia e5 ambayo ina 3g.. Nimeinstall aljazeera live kutoka kwenye opera na ninaweza ku watch aljazeera headlines za kila siku.. Sasa nimeinstall na dstv lakini kila nikiselect chanell ili niifungue napata msg kuwa the service is not available in ur country or contact ur service provider.. Je kitu ambacho vodacom wanatakiwa kukiconnect kwenye simu niende?
ukishikilia 0 kwny keypad zake bdo inafunguka opera?aisee nimeshindwa kabisa. Ni njia gani nyingine ya kubrowse maana mi huwa natumia opera tu kwenye simu, jamani wenye nokia E5 nisaidieni,jinsi ya kubrowse kama hutumii opera
ukishikilia 0 kwny keypad zake bdo inafunguka opera?