dstv inapigwa bei

dejoka

Member
Joined
Aug 25, 2011
Posts
12
Reaction score
0
ni decoder, ungo wake, vinapigwa bei garama kilo hamsini pungufu tutaongea check kwenye 0719145560
 
Mimi nikajua kuwa ni kampuni ya Multchoice Tanzania inauzwa, nikaanza kushangilia.

kumbe wauza decoder na Dish la DStv?! Tutajie na bei kabsa tujue kuliko kupoteza muda na pesa kwa kukupigia simu.
 
sasa kama unazo mbili si moja unauzia wengine watakao itakiji@sio kampuni jamani bei kilo na nusu pungufu tunaongea kama unaitaji
 
sasa kama unazo mbili si moja unauzia wengine watakao itakiji@sio kampuni jamani bei kilo na nusu pungufu tunaongea kama unaitaji

kwanini ulinunua mbili!!??
 
haikuhusu kwa nini zimenunuliwa mbili@ usijali kanune multchoice ndo bei yake hiyo nenda@ wa elfu arubaini unanunua remote kotroo au
 
decoder ni kubwa. siyo ya wizi hiyo unaenda nyumbani kabbisa unafunguliwa unapewa chako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…