Mkuu kwani ving'amuzi vya kawaida bei gani kwa mwezi si elfu 20? Sawa na DStv elfu 19 kwa mwezi ubaya upo wapi hapoEndelea kuenjoy tu mkuu, sisi walalahoi ngoja tuendelee kuililia Serikali ihakikishe utekelezaji wa haraka wa tamko lake la local channels kuwa free of charge.
King'amuzi cha Startimes nilinunua 36,000 (sijui sasa hivi ni bei gani) na ninalipia 6,000 kupata Local Channels kwa lengo la kupata habari.Mkuu kwani ving'amuzi vya kawaida bei gani kwa mwezi si elfu 20? Sawa na DStv elfu 19 kwa mwezi ubaya upo wapi hapo
Mkuu huo ushamba kuwaza unavyowaza karne hii hahaha vitu vyakawaida nowadays TV za chogo hakuna tenaa unataka watu waoneshe nini sasa wanapotoa ufafanuzi unaohusisha TV?? Chogo hakuna bado unauswahili wakupepeta mchele nje afu unasema jilani Leo anatuonesha Leo anapika wali wakati hata kwa mama muuza umejaa kibao, zama zimeenda ndugu amkaaa usilala na majungu ya zamani ukaamka nayo miaka hii ya digital mkuu.Haya tumeona una flat screen
Huyo ni star times na inategemeana na ubora wa kitu huwezi amini mkuu azam ana king'amuzi 25,000 kwa mwezi kazidi hadi DStv 19,000 kwa mweziKing'amuzi cha Startimes nilinunua 36,000 (sijui sasa hivi ni bei gani) na ninalipia 6,000 kupata Local Channels kwa lengo la kupata habari.
Sasa jaribu kulinganisha na hicho king'amuzi unachokinadi uone tofauti.
Mwenye kisu kikali ndio mla nyama.
Endelea kuenjoy mkuu..
Sawa mkuu..Huyo ni star times na inategemeana na ubora wa kitu huwezi amini mkuu azam ana king'amuzi 25,000 kwa mwezi kazidi hadi DStv 19,000 kwa mwezi
Hahaha sasa unafunga dstv unaanzisha uziMkuu huo ushamba kuwaza unavyowaza karne hii hahaha vitu vyakawaida nowadays TV za chogo hakuna tenaa unataka watu waoneshe nini sasa wanapotoa ufafanuzi unaohusisha TV?? Chogo hakuna bado unauswahili wakupepeta mchele nje afu unasema jilani Leo anatuonesha Leo anapika wali wakati hata kwa mama muuza umejaa kibao, zama zimeenda ndugu amkaaa usilala na majungu ya zamani ukaamka nayo miaka hii ya digital mkuu.
Choyo hicho!Haya tumeona una flat screen
Tangazo tangazo
Endelea kuenjoy tu mkuu, sisi walalahoi ngoja tuendelee kuililia Serikali ihakikishe utekelezaji wa haraka wa tamko lake la local channels kuwa free of charge.
Hahahah mkuu sio Tangazo ni serious testimony [emoji16][emoji16]
Sana mkuu
King'amuzi cha Startimes nilinunua 36,000 (sijui sasa hivi ni bei gani) na ninalipia 6,000 kupata Local Channels kwa lengo la kupata habari.
Sasa jaribu kulinganisha na hicho king'amuzi unachokinadi uone tofauti.
Mwenye kisu kikali ndio mla nyama.
Endelea kuenjoy mkuu..
Wala sio choyo jombaa angefunga labda Dstv Explorer alafu akaanzisha uzi kuelezea uzuri wa Explorer kidogo afadhaliChoyo hicho!