unashangaa nini kwani hujui tanzania ni shamba la bibi viongozi ndio wenye hizo biashara.
kwani dstv wako na package moja? Mbona mnapenda lalamika sana package zipo kuanzia 16000/= so uchaguzi ni wako hujalazimishwa kuweka premium na ndio maana ikaitwa premium. Hiyo unapata chanel zaidi ya 80 na za mpira unapata zote
nchi hii umejaa unafiki sana hawa viongozi wakiwa maajukwani utadhani malaika kumbe ni mashetani wakubwaMkuu nilishambana kwa maswali Balozi Mpungwe kuhusu issue hii ya price.. Bt as usual akajifanya hauciki wakati I know ana hisa pale.. Yaani it irks me sana..!
Kamata king'amuzi cha HAWK 777 kinatumia line ya gsm una subscribe bundle ya mwezi 2500 tshs then unakula fully channels za dstv mwezi mzima
Inapatikana wapi?
Kamata king'amuzi cha HAWK 777 kinatumia line ya gsm una subscribe bundle ya mwezi 2500 tshs then unakula fully channels za dstv mwezi mzima
Are you using your real name?. I think I know you!....samahani kwa uchakachuaji.unashangaa nini kwani hujui tanzania ni shamba la bibi viongozi ndio wenye hizo biashara.
Are you using your real name?. I think I know you!....samahani kwa uchakachuaji.
Oljoro JKT?.unajuaje yule unaye mjua ndio mimi maana wenye haya majina tuko wengi
sosoliso nadhani hizi bei zao ni kwa nchi nyingi maana huwa ni dollar 78 au 80
Kwa point yako hii, mie nimejifunza kwamba tatizo ni shilingi yetu kushuka thamani ndio inafanya bei kuwa juu maana hiyo bei ya dola 78 imekaa muda mrefu lakini sie ndio kunakuwa na madiliko (wao ni dola 78 kwa mwaka mfululizo lakini sie kwa madafu yetu kunakuwa na bei tofauti 12 ktk miezi 12), nadhani tukomae shilingi ipande thamani
Hapana Mkuu.. Kuweka kiwango cha dola ni mbinu ya makusudi ya kutufanya tufikirie sababu ya kuwa juu.. nitakupa mifano michache..
Kama unakumbuka makampuni ya cimu yalikuwa yanatuchaji muda wa hewani kwa kiwango cha dola.. Matokeo yake gharama ikawa inapanda kwa kuwa thamani ya shilingi yetu ilikuwa inashuka.. Lakini mbona walifanya uamuzi wa kuyaamuru mashirika hayo ya cimu kutoza kwa viwango vya shilingi.. Leo unaona gharama za cimu zilivyokuwa za chini.. Kama viwango vingebaki vya dola unadhani cimu zingekuwapo mpaka vijijini..?
Wanashindwa vipi kuwaamuru na hawa DSTV kuacha kutumia viwango vya dola..?
Halafu mbona Gtv waliweka flat rate ya Tanzania Shilings..? Mie ninaamini kwa hawa DSTV wanaweza kuweka kiwango cha hata Shs. 50,000 na wakapata faida kubwa.. Maana subscribers wataongezeka kwa kiwango kikubwa sana...