hv vyote vnatumia satellite dish na internet ,tofauti yke bei na ma2miz 2
explora ina uweze wa kurekod kipindi ukitakacho na kurudisha nyuma kipind kilicho pita
Zap (hd) hkina uwezo huo mpak utumie flash
Ni vyema muwe mnawaweka watu wazi wakati wa kuuza hizo explora.
Kama wewe ulivyofanya hapa unatoa tu bei ya kununua hiyo explora halafu huwaelezi watu kuwa huko kurekodi na kurudisha nyuma kipindi unalipia...
Hii inashangaza kwa kweli ni sawa na kumuuzia mtu remote alafu kuibonyeza ili kubadilisha channel mtu alipie tena.
DSTV huo ni wizi...vyema mkawaweka wazi watu ili waamue kabla ya kununua

Swali langu kwa nini mpaka mtu alipie ndo aweze kurekodi?
Yani kifurushi cha mwezi ninunue alafu na uduma ya kurekodi eti nilipie nyie watu hampo serious