richie hassan
Member
- Jan 10, 2013
- 52
- 9
Hiyo port sio ya USB,bali ni port ya waya wa HDMINiaje Washkaji,, nimenunua Decoder ya DStv nyuma nimekuta USB port lakini inaoneka haiko active nimechomeka flash lakini hai-detect,nikajaribu kucheck Guide Book zake nikakuta inaniambia Not active. Sasa nashindwa kuelewa kama not Active kwanini wameweka Option ya usb na mimi nahitaji sana kutumia hiyo option ya flash naomba maujanja wazee.Labla kuna mtu ana-upeo kidogo anisaidie hapo wakuu....samahani kwa swali refuu
MKUU ZIPO SEPARATE KABISAHiyo port sio ya USB,bali ni port ya waya wa HDMI
sasa kwanini wameandika kwenye guide book yao kuwa Not active.???hio ni kwa ajili ya kurecord, unaweza record vipindi vya tv na kuja kuangalia baadae, mfano kuna mechi kali ila itaonyeshwa muda ambao hupo nyumbani unaweza record humo ukarudi ukaangalia.
sema zinakuwa encrypted unaanglizia humo humo
sasa kwanini wameandika kwenye guide book yao kuwa Not active.???
nafkiri kuna kifurushi fulani kina hio feature (PVR), hivyo wapigie uwaulize,sasa kwanini wameandika kwenye guide book yao kuwa Not active.???
WATAALAM HABARI YA JIONI..... NILINUNUA DISH LA DSTV NIKIWA NAFAHAM KUWA NNAWEZAANGALIA MATCH ZA UEFA KWA GHARAMA NDOGO, LAKINI BAHATI MBAYA GHARAMA NI KUBWA SANA, NAOMBA MSAADA JINSI YA KUWEZA KUPATA MATCH KWA GHARAMA NDOGO KWA KUTUMIA DISHI NA KING'AMUZI VYA DSTV AU KING'AMUZI GANI NINUNUE ILA NITUMIE DISH LA DSTV (DISHI DOGO "SIZE") KUWEZA KUPATA MPIRA UEFA, EPL.... NK
Mbona ni kawaida tu ndugumbona ni cheap tu ndugu?
Siku hizi hio port inatumika kwa wifi connectionNiaje Washkaji,, nimenunua Decoder ya DStv nyuma nimekuta USB port lakini inaoneka haiko active nimechomeka flash lakini hai-detect,nikajaribu kucheck Guide Book zake nikakuta inaniambia Not active. Sasa nashindwa kuelewa kama not Active kwanini wameweka Option ya usb na mimi nahitaji sana kutumia hiyo option ya flash naomba maujanja wazee.Labla kuna mtu ana-upeo kidogo anisaidie hapo wakuu....samahani kwa swali refuu
Nielekeze jinsi yakuunganisha brooohSiku hizi hio port inatumika kwa wifi connection
Mkuu wapigie DStv watakupa muongozo wa kupata kifaa kingne cha kuweezesha mawasiliano btwn router na decoder (nahisi knaitwa wifi connector) baada ya hapo unaconnect tu