nenda kalipie kizuri gharamaHawa jamaa hii ni mara ya 3 sasa,..ndo nmeingia hapa nyumban najiandaa niwatch news,naona holaa,nikwel muda umekwisha ,ila sasa hata locals sizioni jaman,hata Tbc,last times had nilipowapigia ndo walirekebisha hili swala,sasa hii tena ni mara ya 3,
Kwahyo mnataka niwapigie tena ama,na nmegoma kuongeza salio la month nyingne sasa,ntaskiliza kwenye redio hzo habar,..
Af ukiwapigia wanajishodoa kwel wale wadada huku mi salio linaenda,.vyuma vimekaza niko makin kwenye kila angle,
Sasa naomba mniunganishe nw na locals hata niangalie habar saa mbili hii hilo salio ntaunga kesho alaa