Heeee yamekua hayooo!!....wewe ndie mjinga, kwa hili serikali naipa heko!! badala ya kulipia sasa tutakuwa tunaangalia bure!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Darmian unajion una uwezo wa kulipia mpk unatolea mapovu mpango mzuri wa serikali? nakushangaa sana. Bora uchutame kwa aibu hii
Hivi TBC ni local channel ya kenya... Mbona naiona AzamSerikali ipo sahihi sana! Lengo nikumkomboa mtanzania wakipato Chachini kabsa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii naona ni ya kenyaKinachonishangaza ni pale kuwaamuru waonyeshe stesheni moja tuu ya bure ambayo ni TBC.. Kwanini wasiziondoe zote..?
Hakuna bure yoyote, mbona Star Times wao hizi za 'bure' hawazionyeshi bure hadi ulipie? Jana nimelipa Star Times ndiyo nikafunguliwa ITV, Channel Ten, Clouds na local channel nyingine? Awali nilikuwa napata TBC1 pekee.wewe ndie mjinga, kwa hili serikali naipa heko!! badala ya kulipia sasa tutakuwa tunaangalia bure!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii bora wangeitoa kabiisaaaa,,, ama wangefanya ya kulipia pekee kwa channel moja tu tena Tsh 53400/= kwa wiki
Hapa kwa jinsi navyoona hili sakata linavyoenda ni kama kililengwa kituo kimoja tu pendwa kwa sasa hapa tz, lkn sielewi tatizo liko wapi
Mnapoisajili tv station kwa nini msimpe na uhuru wa kufanya kazi kwa maana ya leseni zote?
Sent using Jamii Forums mobile app