ramzoukawa
Member
- Feb 20, 2017
- 41
- 13
Ndgu zangu wa tz...hii serikali isitufnye tukazishugulisha akili/faham zetu ktk issue ya drags,kwn ni takribani mwez 1 sasa isue hii inakaririshwa ktk gikra zetu ikiwa bado tuna mambo chungumzima yakuya'face tofauti na drugs scandle,binafc napata taabu sana kuona Jamii yngu ikiwa inakubali kushikiliwa faham nakua under control bila kujitambua,hebu tujiulize mara hii tumeshasahau propaganda yaMzee waLoliondo??!! na ni viongozi hawahawa walibariki na tukajiingiza huko bila kujitambua,na kushindwa kufuatilia isue zaMsingi km masuala yaSheria zaKikatiba khs Uchaguzi mkuu wa2010..hebu tifunguke hapa mashushu wanapost kwenye Mitando yaKijamii then wanatizama faham zetu ni wapi zilipolalia left or right Amka!!