Fr John Wotherspoon
Senior Member
- Aug 3, 2013
- 108
- 180
Wamwache auze drugs au
Hamna LIFE kwenye drugs mkuu, hiyo ni km kusema napiga life kwa kuuza viungo vya binadamu
Mbona unamtetea man au na ww ni one of them..? Kama amekamatwa sababu ya madawa..shida iko wapi?Kwanza hawakufafanua ni drugs aina gani, kama class A, class B or C, kama ni bangi basi wanamuonea maana ata kuna nchi wamehalalisha. Sio poa kumchafua kwenye vyombo vya habari
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhahah[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] apana bro, mm simtetei ila pia uchunguzi ufanyike, mm niko ulaya uku nachezea baridi kali, sina dili na madawa [emoji16][emoji16][emoji16]Mbona unamtetea man au na ww ni one of them..? Kama amekamatwa sababu ya madawa..shida iko wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app