Drogba Vs Rooney: Katika Ubora Wao Ulimkubali Yupi?

Rooney alipokuwa ktk ubora wake sijawahi ona kumi kama ile kwenye mpira hapa duniani
 
Ila na wewe unachekesha kwa hiyo kama lampard kocha unataka rooney afanyaje.Labda akitaka nae ataenda kusomeea ukocha.au atafanya uchambuzi yote maisha.Saiz anaechambua pesa anayopata haipishani sana na ya kocha.
Mwenzake Lampard ni kocha sasa uyo Rooney bado anaruka ruka tu uwanjani..
 
Rooney alipokuwa ktk ubora wake sijawahi ona kumi kama ile kwenye mpira hapa duniani
Mimi Chelsea ndakindaki ulichosema nini sahihi.rooney huwez mfananisha na Drogba atafutwe mwingine lakini huu mjadala humtendei haki.Rooney ni complete package anakupa vyote anapiga pass,anafunga,ana kaba,ana roho ya upambanaji na ushindi na anafunga.Alipokuwa evaton walipokuja tz lile shuti kidogo lichane nyavu.(nje ya mada kuna huyu jamaa kwa sasa anaitwa Sergio busquets amekamilika sana raha sana ukiona akiwa na mpira ananikumbusha enzi za kina xavi na iniesta,mpira unamtii anaupokea anautuma anavyotaka na unamtii)
 
Umekuja kumuona Sergio akiwa kashazeeka. Pole sana mkuu. Mbona amecheza na hao hao akina Xavi. Kumbuka Guardiola alimuondoa Yaya Toure Baclrcelona ili ampe nafasi Sergio maana ni mtoto wa nyumbani na ile ndo timu yao!
 
Ila na wewe unachekesha kwa hiyo kama lampard kocha unataka rooney afanyaje.Labda akitaka nae ataenda kusomeea ukocha.au atafanya uchambuzi yote maisha.Saiz anaechambua pesa anayopata haipishani sana na ya kocha.
Atafute timu ya kufundisha afuate nyayo la lampard..
 
Mimi Chelsea ndakindaki ulichosema nini sahihi.rooney huwez mfananisha na Drogba atafutwe mwingine lakini huu mjadala humtendei haki.Rooney ni complete package anakupa vyote anapiga pass,anafunga,ana kaba,ana roho ya upambanaji na ushindi na anafunga.Alipokuwa evaton walipokuja tz lile shuti kidogo lichane nyavu.(nje ya mada kuna huyu jamaa kwa sasa anaitwa Sergio busquets amekamilika sana raha sana ukiona akiwa na mpira ananikumbusha enzi za kina xavi na iniesta,mpira unamtii anaupokea anautuma anavyotaka na unamtii)
Uyu Rooney kweli ni mzuri ila kwa Didier bila ushabiki anakaa vizuri tu ..Rooney mbele ya John Terry alipata tabu wakati akina Vidic na Garry Neville walikuwa wanaumiza kichwa namuna ya kumkabili King D..

Kamuulize Van De Saa kuhusu Drogba.
 
Rooney ni beast...japo hajawahi chukua kiatu cha ufungaji bora ila ni mfungaji bora wa Man U wa muda wote...nikikumbuka ile tik tak anayowaua Man City duh!...White Pele hakua na bahati tu.
 
Back
Top Bottom