N ngony Senior Member Feb 7, 2012 153 17 Feb 17, 2012 #1 hivi mnajua kuwa drogba na torres hakuna aliyewahi kufunga goli mmoja wapo akiwa akiwa uwanjani. yani drogba hajawah kufunga goli torres akiwa uwanjani, labda atolewe au awe benchi. na hvyo hvyo kwa torres. je wadau wa soka mnaizungumziaje hii
hivi mnajua kuwa drogba na torres hakuna aliyewahi kufunga goli mmoja wapo akiwa akiwa uwanjani. yani drogba hajawah kufunga goli torres akiwa uwanjani, labda atolewe au awe benchi. na hvyo hvyo kwa torres. je wadau wa soka mnaizungumziaje hii
TONGONI JF-Expert Member Feb 18, 2011 1,041 373 Feb 17, 2012 #2 Torres alifunga magoli mangapi wakati Drogba alipokuwa anashiriki ACN?
M mashambani kwao JF-Expert Member Dec 5, 2011 370 56 Feb 18, 2012 #3 torres na drogba ni majoka ya KIBISA