Didier Drogba amewaaga wachezaji wenzake wa klabu ya chelseaya uingereza na kuwaeleza kuwa muda umewadia
wa yeye kutemana na klabu hiyo ambayo ilishinda ubingwa wa ulaya jumamosi iliyopita kwa kuilaza bayern munich ya ujerumani.Inasemekana huenda Drogba akelekea China kuungana na Nicolas Anelka .