Driving Licence points

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2009
Posts
34,637
Reaction score
38,010
Kuna hili suala ya kutuma namba yako ya leseni ya udereva au namba ya gari kujua kama
1. Unadaiwa
2. Gari inadaiwa
3. Au kucheki points zako

Namba hiyo ni *152*75# then unafuata maelekezo. Majibu yanatoka TPF kwa sms

Nahitaji msaada kwenye hilo la kucheki point
1. Hizo points zinatoa taarifa gani?
2. Kipi kiwango kikubwa cha point na kipi ni kidogo?
3. Kwenye figure fulani ya points, inatoa ujumbe upi kuhusu mwenye leseni?
 
Huku tunako elekea HESLB watafanya colabo na M pesa kutufanya tulipe madeni [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…