driver za wireless

kasambalakk

Senior Member
Joined
Apr 2, 2011
Posts
126
Reaction score
17
Habari zenu wandugu jf..
Sasa jamii me natumia dell laptop dell latitude d600..natafuta driver za wireless..nimejaribu kudownload kwenye dell website yao lakin inanizungua..msaada wa link kuna wireless maeneo
 
angalia hiyo driver ulio download ni corresponding na OS ulionayo!!--Pia anagalia harware yenyewe ipo okay?---Nadhani hakua atake kupa driver mzuri ya DELL hardware zaidi ya DELL wenyewe.
 
Tatizo kila kitu kipo may be naomba unijulishe jinsi ya kucheck wireless card kama ipo naomba darasa la kucheck iyo makitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…