kwanza tambua aina ya kisima, kama ni cha drill kila sehem ina umbali wake kufikia maji, wastani ni mita 50 deep ndo unayapata, na wachimbaji wanatofautiana gharama kwa mita, zinaanzia 40,000-60,000/=Tsh kwa mita moja,pia pump zake ni kati ya 1Mil hadi 2.5Million ,pia kuna mabomba nazan kati ya 1000 hadi 1500 kwa mita, hii inategemea na kipenyo na quality, fundi nk, karibu ktk ulimwengu wa kilimo
irrigation scientist.