Ni hela tu ila nazitamani sanaHabari Wakuu,
Ninauza Rollers za Drip Irrigation,
Ziko jumla 4 @ Tshs 250,000/= each,
Urefu wa kila Roller ni 1,500metres,
Emitter spacing ni 30cm & 50cm interval.
Kwa kila Roller 1 utapata
-Connectors za Drip to Normal Pipe (PVC Offtake) - 100 Pcs
- End lock za Drip zinazofungwa mwishoni mwa Drip (Tape Plug) - 100pcs
Ninapatikana Dar es Salaam
NB;
Mimi sio Dealers wa hizi vitu, bali niliagiza za Kwangu mwenyewe kwa ajili ya shambani kwangu na hizi ndio zimebaki. Sasa kwakua nahitaji kufanya vitu vingine basi wacha hizi niziuze.
Mobile 0684 477 150
Hizi hazijabaki kakaSprinkler huna mkuu?
Urefu 1,500 metersRoller lina urefu gani? na kipenyo cha hiyo pipe ni sm ngapi?
Poa kiongozi! Uliagiza kutoka wapi?Hizi hazijabaki kaka
ChinaPoa kiongozi! Uliagiza kutoka wapi?
Kwa zote mbili (3,000metres) au??Ukizitandaza zinaweza kuenea kwaheka
Ndio kwa zote pia nataka kulima nyanya au matikitiKwa zote mbili (3,000metres) au??
Ila pia inategemea unalima nini ndugu yangu
Kwa zote mbili Zinatosha kabisa,Ndio kwa zote pia nataka kulima nyanya au matikiti
hapo kwenye interval ya matundu sijakuelewa, unaaina mbili ya interval ya 30cm na nyingine ya 50cm? au ulimaanisha tofauti na hiviWakulima wenzangu,
Nina Drip Irrigation Pipes (Au tapes) naziuza, zimebaki mbili baada ya mdau mmoja humu kuniungisha,
Urefu 1,500 mita na Interval ya matundu ni 30cm kwa 50cm
Ninapatikana Kijitonyama, Dar es Salaam
Bei 250,000 per roller
NB;
Mimi sio Dealers wa hizi vitu, bali niliagiza kwa ajili ya shambani kwangu na hizi ndio zimebaki.
Mobile 0684 477 150