Bwana Kipara Unataka Ushauri Upi? Wa Kupelekeshwa Au Ushauri Kuhusu Kilimo?
Bado Sijakuelewa Ngoja Waje Na Wenyeji Kidogo.
Pole ni kweli wasukuma wengi hawapendi kupelekeshwa hata kama hawana uwezo na tatizo lao ni ubinafsi.Si unaona Shibuda John Cheyo na Chenge hawataki kuona mtu anakatiza mbele yao hii hali itawagharimu ndugu zetu.Kuhusu kudril maji chini nenda kwenye kampuni za uchimbaji na inaweza ikawa milioni 6.Kuhusu mkopo kama hauna nyumba ya kuweka dhamana iliyoko maeneo ya mjini nakupa pole na vumilia kupelekeshwa mpaka utoke.Pia uwe mtaalam wa kuweka mchanganuo vizuri na huo mradi uwe umeshaanza,kwa ujumla benki sio rafiki wa maskini.
DAUDIkipara another drama
we ukiona hapo juu ni uzi wa ngapi siku ya leo halafu imekaa kifix fix tuWhich drama mamafacebook
Kaka wa P didy
we ukiona hapo juu ni uzi wa ngapi siku ya leo halafu imekaa kifix fix tu
Huyu Kipara si ndiye alipanga nyumba Mwananyamala hivi karibuni akawa anakerwa na danguro lilipo karibu na kwake!! kwakweli jiji limemkataa
Ndo huyu huyu Mafikizolo hebu leta ushahid wa background yake huyu
Hahahahhahaha daud kipara the drama bway
https://www.jamiiforums.com/habari-...danguro-ya-machangudoa-hapa-mwananyamala.html