Naomba nikukatalie hapo uliposema kuwa ni 'unafiki', naweza kuwa sivai kwenye maadili ya kiislam miezi mingine lakini nikavaa kwenye maadili hayo kwenye Mwezi mtukufu na Mwenyezimungu kwa rehma zake akanijaalia nikawa miongoni mwa wale wavaaji wenye maadili ya kiislam baada ya Ramadhani kuisha. Nina ushaihidi wa hilo, so instead of criticizing and discouraging gals and women on doing so, you should encourage them and prey for them at the same time so that they join others in Swiratul-Mustaqiym