Kwa wale wanaocheza game kama hilo hapo juu naomba mnielekeze namna ya kupata coin nyingi kwa haraka manake nimecheza mechi nyingi lakin coin bado kiduchuuu