Wakulungwa mi online kuna changamoto moja nakutana nayo; naweza nikawa na mpira nishapress B kutoa pasi mchezaji wangu anakuwa kama anaganda mpaka opponent wangu anakuja anachukua mpira, au unakuta nakaba mchezaji wangu anamfuata opponent ila akimkaribia anakuwa kama anavutwa kurudi nyuma hivyo hakabi, je issue ni internet au jamaa ndo wanatumia cheats? Na kikosi ninacho kizuri tu so sitaki kuamini kuwa labda mchezaji wangu ana rating ndogo kuliko anayepambana nae.
View attachment 2433216