Acha kujisifia ujinga mechi tumecheza dk 10 na kitu mtandao umegoma unajisifia onyesha wafaungaji wa hizo goli mbili ...kwanza la kwanz players walikuwa wamesimama ndio maana gemu nikaona bora niQuit tu.

Sijamind mimi humu Master na ndio King 👑 wao ndio maana sitaki watu wachafue CV yangu maana mm ninaongoza kutoa kipigo kikubwa humu 6 nikimfunga Fene pamoja na rekodi nyingine nyingi humu.