Mmemekutana vibonde ndio maana mhangaika kufungana , ngoja kesho panapo niwaonyeshe jinsi gani mtu anavyotakiwa ashikishwe adabu hadi asitamani kucheza na mimi tena kama ilivyokuwa kwa @Frustation na wenzanke.
Nimeshakua bingwa wako na ulimuahidi @Frustation kua utaninyamazisha sasa nimeshamaliza ubishi haya nileteeni privacy haraka huyu mtu nina hasira nae balaa nikikutana nae atapigwa nyingi kama mvua.