adriz sitambi kukufunga maana kwangu ni kawaida tu ila nakuomba ujifunze walau kupiga pasi, yani wew ndie unaongoza kwa kucheza butubutu humu, tazama game zote umepigiwa mpira
Kijana mbona unahadaa Raia hauweki matokeo ya jumla ? umeshindwa siku moja tena ushindi mwembamba mechi 5 umeshindwa 3 na kufungwa mbili hapo si kama umebahatisha Tu ?

We kiande maneno mengi bila ya shaka umejiandaa vyema, leo kama utakuwa na wasaa mishale ya saa 4 tupige game 5 na nitakupasua zote shikilia hilo NITAKUPASUA ZOTE
Sema mtandao unanisumbua Sana sijajua tatizo n nn? Hicho ndo kinanifelisha Sana..
Au kuna inshu ya settings?
Maana inagoma sio kama game lililopita hili nacheza Kwa kutumia Tu uzoefu