Dream League Soccer Special Thread

Weka code nikukande kama unajiamini lakini,sitaki mbio
 
Master nitakuwepo kuanzia mida ya saa 4 na nusu panapo majaaliwa kutoa dozi matata , nasubiri viande mjitokeze maana bado mna niogopa sana humu.
 
Hahhhhhhhhhhh kwahiyo ulivompasua kibonde Fene ukahisi tayari unaweza kucheza na Mimi na nisikifunge Goli tano
Hii mechi ya pili Jana nimesikitika sana ,kwa nini sikumpiga kono la nyani Mr Kiande Fene ? DKK ya 21 Tu Kala chuma 3..

Mechi ikaisha hv so Sad...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…