We ni kiande tu kama
adriz tena afadhali yake anakubali kuwa kadundwa we unacheza game dakika 90 full time kabisa ukiona umechuana na mpinzani unadai mtandao
Mara ngap ishu za mtandao ndogondogo kama unavyotoaga ushahid hata kwet zinatokea tunaweka flight mode tukirudisha normal hao tunaingia uwanjani
Ukiona umeingia uwanjani tu hakuna tatizo la mtandao hapo vinginevyo labda tuone wachezaj wako wana-stuck