Oiiii twendePoah
Same code, jbsPoah
SearchingSame code, jbs
Hapo ss naweza kulea Ndoa yng Faza next time tutakutukana tenaSame code, jbs
Hapo ss naweza kulea Ndoa yng Faza next time tutakutukana tena
Oya ww jamaaAkhsanteenhWe tu Pekee yako Bro ndy Unaweza kunichallenge kwenye Huu Uzi .
Ndy maana kuna Siku nilisema km Master sio Mi au Weapo (Eng ibird ) ndy tunaestahiri ilo Jina na sio Mtu Mwingne
Berardi huyo lzm aonekane kweny assist au ScoreLeo ndo nmemuona Berald ila mech za nyuma sikumuona kbs
We si nilikuambia Utanipa Umaster mwenyewe maana we katika huu uzi ndy ulienifunga Pekee yako Japo Leo nimelipa kisasi tukutane Siku nyngneOya ww jamaaleo nliona kbs umenikamia kaka daahhuo ukamiaj sio poa ni moto unanipelekea mpk mwenyew najiona sio mm wa siku zote ninavyocheza
Ningeomba ichezwe game maalumu kati ya adriz na Wakipekee tumjue alie kiande zaid humu maana viande mpo wengi
Au mnasemaje wakina Mr Jobless
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Yeah Kaka, tungependa kuona viande nao wanaheshimianakwahyo viande kwa viande ili atafute kiande zaid
Mbona unamkimbia MrJobless ? ile comment ya battle unaipita kama huioni piga mechi acha kukimbia .Ningeomba ichezwe game maalumu kati ya adriz na Wakipekee tumjue alie kiande zaid humu maana viande mpo wengi
Au mnasemaje wakina Mr Jobless
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Upo Sahihi hapa ss hv inabid kila mtu achague mtu wake wa kucheza nae ili kutoa malumbano Nani KibondeNingeomba ichezwe game maalumu kati ya adriz na Wakipekee tumjue alie kiande zaid humu maana viande mpo wengi
Au mnasemaje wakina Mr Jobless
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app