Huo mchezo siwezi kuchulia siriaz namna hiyo halafu mimi ni Master humu na DLS kwa ujumla hivyo siwezi kuomba ombi kama hilo ila nakuahidi na tunza risiti hii kwamba ukiona nimerudi sina stori zaidi ya vichapo tu.
Ebu Kdg ili Jina la Master nisingependa kila mtu alitumie humu ndani km Mi nipo au Eng ibird yupo ni kutoa taswira mbaya Kwa wageni wakiamin nyie mnaojiita mnajua kumbe Kelele kibao tu lkn kumfunga mtu huwez
Ushindi wa siku moja hauwezi kumbuka mtu cheo chake ,huoni Argentina siku ya kwanza kombe la Dunia alifungwa na Saudi Arabia akadhihakiwa na kuchekwa mwishoni yeye akawa bingwa.
Nitakaporudi tena nikifungwa na mtu yeyote naacha kujiita Master nitatoa cheo kwa bingwa au kama vipi iwekwe shindano la wanaJf tu wa humu tuone who is the real Master.
Sio leo wala kesho tuangalie kesho kutwa panapo majaaliwa ,nakula short break kwanza na hii ndio kawaida ya Master anpoa kwanza kisha kurudi kwenye game kwa nguvu mpya .