Kwa wadau niliowahi kucheza nao humu huyu jamaa
MrJobless ni balaa kubwa nimependa Sana staili yake ya uchezaji.. Hana butua butua anapiga pasi kama Brazil ya kina Garincha
mtu mwingine m-bad ni
Eng ibird . Lakini pia
Fene ni mkali Ila staili yake ya kucheza ni ovyo kabisa ni kama atletico Madrid
Hao ni Kwa wale niliocheza nao