Hizi dharau kwa Master wako chunga sana , siku ya a mwisho simu ilizingua ikawa lila.mechi haiishi unakataa kabla ya siku hiyo ilikuwa droo kila mtu kashinda gemu 3 ila mimi ushindi kutokana na magoli coz nilikupa kichachapo kikali cha goli nyingi siku hiyo .