MBOKA NA NGAI
JF-Expert Member
- Jan 31, 2025
- 496
- 768
Baada ya kuibuka vita kali kati ya M23 na jeshi la FARDC, likisaidiwa na mamluki kutoka nchi za ulaya na marekani, kundi la FDLR, Kundi la wazalendo, jeshi la Burundi na kundi la Imbonerakure kutoka Burundi, mpaka sasa, inasemekana M23 inakaribia Uvira mjini, umbalo usiozidi Km20.
Jeshi la Burundi limeanza kuondoa siraha na badhi ya wanajeshi kurudi nchini kwao, huku jeshi la Congo na lenyewe badhi wakielekea Burundi kupitia mpaka wa ardhini, na wengine kuelekea Kalemie, kupitia njia ya ziwa Tanganyika.
Badhi ya viongozi, waleiomba jeshi kusalimu amri kuepuka kumwagika kwa damu mjini humo, kama ilivotokea Bukavu.
Inaelekea, Burundi, iliyokuwa ikishutumiwa na M23 kuua raia wa mashariki mwa DRC, kabila la Watutsi, ndo wanaenda kuwa majirani.
Ikumbukwe, maeneo inapoelekea M23, ndipo walipo waasi wa Burundi, wajulikanao kama RED-TABARA.