DRC kwa sasa tunafeli kabisa

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,793
Reaction score
5,053
DRC tulitakiwa sisi ndo rule Afrika kiuchumi kama alivyo usa uko Marekani, China, Asia, Ujerumani, Ulaya
Australia ocean. Lakini Sijui tuna feli wapi kabisa.

Kuna haja ya kujenga jeshi imara kabla ya yote ili kuepuka usumbufu wa hawa madogo Rwanda, Uganda na wengine wasumbufu.

Tukiwa na jeshi imara tutakuwa na security nzuri. Pia na tupitishe sheria ya kunyonga yeyote ataye toa maneno ya kibaguzi kwa mtu mwingine hiyo sheria italeta heshima kila mtu kuheshimu mwenzeka.

Sheria ya kunyonga kwa yeyote atakaye bainika ni fisadi, Sheria ya kifungo cha miaka 20 jela au faini ya dollars milioni moja kwa yeyote atakaye kwepa kulipa kodi. Sheria ya kutokumlipa mfanyakazi yeyote pesa akifika kazini nyuma bila sababu ya msingi

Na mwisho Serikali tunaweka utaratibu wa kukopesha wafanya biashara pesa za maendeleo. Na kutengeneza vitambulisho vya wajasiriamali wadogo wadogo ambavyo watakuwa wanalipia mara mbili kwa mwenzi tu.

Hapo tutakuwa tumeua tayari
Kuna mda nchi kama DRC bila kuiongoza kidikteta hutoboi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…