haina kuremba hii, tukizubaa nchi inamaliziwa kuuzwa kipande kilichobaki. bunge hili lina timu babkubwa kutoka upinzani inayopangua uchakachuaji wa hoja, waendelee hivyohivyo, hata ndoa inatajwa ni takatifu lakini ndani hapakosi bifu, hivyo hata kama bunge ni tukufu halikosi kasoro za kibinadamu.binafsi nalikubali ile mbaya.