FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,065
Kwa wale wanazi au wapenzi wa Drama kutoka pande za Korea Kusini nadhani mtakuwa mnafahamu kuhusu Joseon. Taifa lililokuwepo miaka ya 1300 - 1800 k.m.
Nimeandaa Drama kali 10 ambazo zinaelezea kuhusu Historia ya dola hiyo kwa ufasaha zaidi ukiachana na zile zilizojaa stori za kutunga mfano Gu Family Book. Twende kazi! (List haipo kinamba).
1. DONG YI
2. CRUEL PALACE - WAR OF FLOWERS
3. TREE WITH DEEP ROOTS
4. FLOWER IN PRISON
5. JOSEON GUNMAN
6. KING SEJONG THE GREAT
7. SIX FLYING DRAGONS
8. YI SAN
9. JEONG DO-JEON
10. DAE JANG GEUM
Kama hujapata kutazama Drama hizo zitafute na hutojutia kupoteza muda wako kujifunza Korean History. Burudika na jifunze historia ya Josean kwa uzuri zaidi! Karibu sana! Anyeong!