Draft Anna Kajumulo Tabaijuka for President 2015

kitufe cha "THANKS" sikioni mkuu
 
kwa gamba hamuwezi kunishawishi kwa lolote.kwa kuwa yuko kwenye chama cha magamba na yeye ni gamba
 
kwa gamba hamuwezi kunishawishi kwa lolote.kwa kuwa yuko kwenye chama cha magamba na yeye ni gamba

uko katika nchi inayoongozwa na magamba na wewe ni gamba....viongozi ni zao la jamii hawajazaliwa Mars, Jupiter wala Netune hawa......ni magamba ya tanganyika huru ambayo na wewe umo

mix with yours
 
anafaa sana lakini tatizo ni hicho chama alichomo.
kuhusu hapo kwere red, hiyo in apply zaidi kwa wanaume maana wamama wana uchungu na ni wakweli kwa kiasi fulani ukilinganisha na 'midume'
Please! Utafikiri namwona vile anavyosema "ngangana":biggrin1:

Lakini tukiacha hiyo "lakini mkara" aliyoikemea Mwalimu, je anafaa?
 
Sina shaka kuwa wewe umeahidi uwaziri mkuu na huyo mama.Hakuna chochote alicho kifanya kwetu watanzania <br />
<br />
 
msimdhulumu huyu mama fuata cv yake, anaweza sana sana sio kama sitta au lowasa, sita kigeu geu lowasa mpenda mali!!
 

Mmepewa Uspeaker, mbona hamrekebishi tuwaamini?
 
Hana jipya akae pembeni huko hatutaki kusikia harufu ya CCM hata kama watatwambia kuwa mgombea wao ni Malaika; maana tunajuwa hakuna malaika kutoka kwa mungu anaweza kuwa upande wa CCM hata siku moja.
 
<br />
<br />
we huoni tabasamu lake na jinsi anavyopunga mkono na kugongea? Hofu yangu hizo safari za nje huwa anaenda ku 'quench thirsty'
 
Duh!i hardly believe it.Do you think Tanzanians are just there for making history?Right we have made history by electing Anna Makinda bt we all see her perfomance.She is the most weak speaker we ever had...do we still need to do the same for presidency position?a big no.We cant afford to get another kikwete in tz......enough z enough
 
msimdhulumu huyu mama fuata cv yake, anaweza sana sana sio kama sitta au lowasa, sita kigeu geu lowasa mpenda mali!!
 
kwa gamba hamuwezi kunishawishi kwa lolote.kwa kuwa yuko kwenye chama cha magamba na yeye ni gamba

usipende kujumuisha.......yawezekana chama unachokishabikia wewe kina ulemavu wa kuzaliwa, nafuu hata gamba linaweza kuvuliwa! I don mean na prefer Chichiem.....but you have to think beyond! Usimpinge m2 eti kwa vile ni wa chama fulani bila kufanya analysis kuhusu yeye kwanza
 
Huna haja ya kuwa na "masters" uwe rais. Hata Rajolina wa Madagascar analijua hilo!
 
Hana jipya akae pembeni huko hatutaki kusikia harufu ya CCM hata kama watatwambia kuwa mgombea wao ni Malaika; maana tunajuwa hakuna malaika kutoka kwa mungu anaweza kuwa upande wa CCM hata siku moja.
wewe na nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…