Hapa niliwahi kuona uzi wa Mjumbe akidai huyu Dr. yuko pale Makerere univ. anasoma sijui kweli?Na Dr ulimboka yupo wapi siku hizi au kanyamazishwagwa?
Na Dr ulimboka yupo wapi siku hizi au kanyamazishwagwa?
Hii ndo sifa kubwa ya Watanzania.......NI WEPESI WA KUSAHAU.Linapotokea jambo lolote lile, ni wepesi kwa kuinua shingo zetu, kupiga kelele, na kuapa kwa miungu yote kuwa waliotufanyia madudu watakiona cha mtema kuni.....THUBUTU!Tukio lile la kutekwa na kuumizwa vibaya kwa Dr. ULIMBOKA, liliamsha hasira za watanzania wengi, kila mmoja akisema na kulaani kivyake, wengine waliinyooshea kidole serikali, wanaharakati wakalaani , wanasiasa wakalaani na kuibeba kama ajenda ya kisiasa, wanahabari nao halikadhalika.....LEO HII CHALI!Tume iliundwa na jeshi la polisi nadhani, matokeo ya uchunguzi wake yako wapi!Aliyekamatwa tuliambiwa ni Mkenya, Ubalozi wa KENYA ukaahidi kuchunguza ukweli wa uraia wa huyo mtuhumiwa , KINACHOENDELEA NI NINI? Hakuna taarifa yoyote juu ya hilo.Waliotajwa kuhusika na unyama ule, aliyewataja....Hakuna hata mmoja aliyekamatwa na kuhojiwa na jeshi la polisi nchini mpaka leo hii....KAMA AMBAVYO JK HUSEMA "NI UPEPO TU".....na kweli upepo, umeshapita na kila mtu anaendelea na issue zake kama hakujawahi kutokea jambo lolote lile.....TUMESAHAU TAYARI!WATANZANIA TUACHE UNAFIKI, TUACHE KUBURUZWA NA MATUKIO, TUSIMAME TUKAMEE NA KUSHINIKIZA HATUA STAHIKI ZICHUKULIWE DHIDI YA WAHALIFU,TUSIWE WEPESI KUSAHAU.....TANACHEKWA!
ni upepo tu huo utapita...Hii ndo sifa kubwa ya Watanzania.......NI WEPESI WA KUSAHAU.Linapotokea jambo lolote lile, ni wepesi kwa kuinua shingo zetu, kupiga kelele, na kuapa kwa miungu yote kuwa waliotufanyia madudu watakiona cha mtema kuni.....THUBUTU!Tukio lile la kutekwa na kuumizwa vibaya kwa Dr. ULIMBOKA, liliamsha hasira za watanzania wengi, kila mmoja akisema na kulaani kivyake, wengine waliinyooshea kidole serikali, wanaharakati wakalaani , wanasiasa wakalaani na kuibeba kama ajenda ya kisiasa, wanahabari nao halikadhalika.....LEO HII CHALI!Tume iliundwa na jeshi la polisi nadhani, matokeo ya uchunguzi wake yako wapi!Aliyekamatwa tuliambiwa ni Mkenya, Ubalozi wa KENYA ukaahidi kuchunguza ukweli wa uraia wa huyo mtuhumiwa , KINACHOENDELEA NI NINI? Hakuna taarifa yoyote juu ya hilo.Waliotajwa kuhusika na unyama ule, aliyewataja....Hakuna hata mmoja aliyekamatwa na kuhojiwa na jeshi la polisi nchini mpaka leo hii....KAMA AMBAVYO JK HUSEMA "NI UPEPO TU".....na kweli upepo, umeshapita na kila mtu anaendelea na issue zake kama hakujawahi kutokea jambo lolote lile.....TUMESAHAU TAYARI!WATANZANIA TUACHE UNAFIKI, TUACHE KUBURUZWA NA MATUKIO, TUSIMAME TUKAMEE NA KUSHINIKIZA HATUA STAHIKI ZICHUKULIWE DHIDI YA WAHALIFU,TUSIWE WEPESI KUSAHAU.....TANACHEKWA!
JamiiForums
VIDEO: Mikakati ya CHADEMA kufanya Mauaji kwa Wanahabari
- Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA Willfred Lwakatare akitoa maelekezo kwa vijana wake kwenda kutekeleza tukio la kumteka mwandishi wa habari
- CHADEMA wanatakiwa kutufafanulia watanzania, hii ni mikakati yao au wanachafuliwa?
- Serikali na vyombo vya Usalama watuambie watanzania, kwanini watu hawa bado hawajachukuliwa hatua?
...See More
VIDEO: Mikakati ya CHADEMA kufanya Mauaji kwa Wanahabari - Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA Willfred Lwakatare akitoa maelekezo kwa vijana wake kwenda kutekeleza tukio la kumteka mwandishi wa habari - CHADEMA wanatakiwa kutufafanulia watanzania, hii ni mikakati yao au wanachafuliwa? - Serikali na vyombo vya Usalama watuambie watanzania, kwanini watu hawa bado hawajachukuliwa hatua? - Kama video hii ni fake, mhusika (Lwakatare) anafahamu nani aliandaa video hii, awape ushirikiano polisi kumtia nguvuni mwandaaji kwa uchochezi! Tazama Video hii hapa --> CHADEMA, hapa Lwakatare alikuwa anamaanisha nini?
Kova alimpeleka kichaa mahakamani so nadhani atafutiwa mashtaka muda c mrefu
WILFRED LWAKATARE atakuwa anajua, click link hii:wana JF habari za leo wapendwa naomba kufahamishwa juu ya Case ya anaedaiwa kumteka Dr Ulimboka inaendeleaje ?
Nape Nnauye leo umeangaika kweliJamiiForums
VIDEO: Mikakati ya CHADEMA kufanya Mauaji kwa Wanahabari
- Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA Willfred Lwakatare akitoa maelekezo kwa vijana wake kwenda kutekeleza tukio la kumteka mwandishi wa habari
- CHADEMA wanatakiwa kutufafanulia watanzania, hii ni mikakati yao au wanachafuliwa?
- Serikali na vyombo vya Usalama watuambie watanzania, kwanini watu hawa bado hawajachukuliwa hatua?
...See More
VIDEO: Mikakati ya CHADEMA kufanya Mauaji kwa Wanahabari - Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA Willfred Lwakatare akitoa maelekezo kwa vijana wake kwenda kutekeleza tukio la kumteka mwandishi wa habari - CHADEMA wanatakiwa kutufafanulia watanzania, hii ni mikakati yao au wanachafuliwa? - Serikali na vyombo vya Usalama watuambie watanzania, kwanini watu hawa bado hawajachukuliwa hatua? - Kama video hii ni fake, mhusika (Lwakatare) anafahamu nani aliandaa video hii, awape ushirikiano polisi kumtia nguvuni mwandaaji kwa uchochezi! Tazama Video hii hapa --> CHADEMA, hapa Lwakatare alikuwa anamaanisha nini?
Na Dr ulimboka yupo wapi siku hizi au kanyamazishwagwa?
Wataumbuka vibaya sana, mwache ahangaieke..Nape Nnauye leo umeangaika kweli
ni upepo tu huo utapita...
Na Dr ulimboka yupo wapi siku hizi au kanyamazishwagwa?