chechekali
Member
- Oct 18, 2010
- 33
- 16
Naomba tuwalinganishe hawa makatibu wa vyama hivi tuone nani zaidi kwa vigezo vifuatavyo:-
1:Kiutendaji
2:Ujenzi wa hoja
3:ufafanuzi wa hoja
4:Uwajibikaji
5:Usimamiaji wa haki za wanachama na taifa
6: Uwezekano wa kumsimamisha kugombea nafasi kubwa kama ya Uraisi
7:Uelewa wa katiba na sheria za nchi
8:Busara
9:Uzalendo
Mtoa mada naweza nikakuthaminisha na juu ya uelewa wako nivigumu kuleta mada hii hapa kwakulinganisha uwezo wa mtu hapa kwenye JF hivi unajua Makamba vyeovyake nivya kushikishwa??Shule aliikimbia!!Iweje wewe leo umlinganishe na DR??PhD??Hapana acha dharau zako bwana nakuheshimu nakuomba tuendelee kuheshimiana tafadhali usiniharibie siku asantae nadhani utakuwa umenielewa!![/QUl
lengo ni kuwaonesha ccm kwamba makamba ni mmoja waviongozi viraza walio nao na si kumpambanisha na Dr Slaa. CCM wanamwamini sana makamba na nazani ndo kichwa chao so nadhani jibu wamelipata