Dr Slaa tunakusubiri UHURU

halafu eti unajiita mwanafalsafa..nyambafu!!mwanafalsafa huwa hana pumba kama unazotoa..
 

mbona unazihitaji chupi za wana cdm pekee? Nakushauri ukitaka kufanya udaku anzia kwa kakayo jk kwani umaarufu wake kwa madenti unajulikana na bila kumsahau makamba anayo historia alipokuwa mwalimu mkuu. Slaa yeye kapata mwenza mtu mzima ( of legal age!) na hatujamwona akihangaika na wabinti wa kiarabu!(bintiye rostamu?)
 

Mwanafalsafa mageuzi ni kazi ya kupokezana vijiti kama marekani ubaguzi ulianza kupigwa vita long time kuanzia Martin Luther king, Malcom X na wengine hadi leo kuna Rais wa kwanza mweusi. Kazi ya ukombozi aliyoianza Dr wa ukweli si lazima amaliza yeye lakini hadi alipofikia ni hatua kubwa sana. Tunamheshimu na kumshukuru Prezidaa wa ukweli
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…