Ikitokea Katiba imekamilika na kuwepo serikali tatu 3 ninakuomba Dr. Slaa ugombee urais wa Tanganyika baadala ule wa shirikisho, na Chadema itafute mugombea mwingine kwenye serikali ya shirikisho.
Ni kweli mkuu,
Lakini tunamuhitaji zaidi kwenye muungano ili kutibu masaibu kadha wa kadha makubwa ambayo CCM imeyafanya ambayo yamependekezwa na tume ya warioba kama mambo ya muungano kama kuweza kulinyoosha JESHI lililotumika ovyo kwa maslahi ya wanasiasa ili liwe independent body!
Ikitokea Katiba imekamilika na kuwepo serikali tatu 3 ninakuomba Dr. Slaa ugombee urais wa Tanganyika baadala ule wa shirikisho, na Chadema itafute mugombea mwingine kwenye serikali ya shirikisho.