Kama nimeona vibaya, mbona wanaonekane wengi wana umri chini ya miaka 18 hasa safu ya mbele? Watasaidia ushindi kweli au watawashawishi wazazi wao?
Watoto wapo safu ya mbele, wamekuja kusikiliza jinsi haki zao na nchi yao inavyoumizwa na mafisadi na hivyo watakua wakijua hilo na watakuwa wapiganaji tangu sasa hadi watakapoanza kupiga kura.Naona watoto wengi hpo mbele ambao kwa mtazamo wangu hawajitimiza hata umri wa kupiga kura!!
Kama nimeona vibaya, mbona wanaonekane wengi wana umri chini ya miaka 18 hasa safu ya mbele? Watasaidia ushindi kweli au watawashawishi wazazi wao?
naogopa kusema unajipotosha. Umekataa kuiruhusu akili yako ikitafsiri vizuri kile unachoona. Watoto katika mikusanyiko kama hii lazima watakuwepo.
Kinachonekana kwenye picha ni kuwa watoto wako mbele mistari michache kwasababu wanataka waone (kwani wao ni wafupi). Hebu angalia mistari ya nyuma ambayo ni mingi zaidi unaona nini.
Kama huoni kitu nenda JF-Doctor kwa ushauri zaidi.
Naona watoto wengi hpo mbele ambao kwa mtazamo wangu hawajitimiza hata umri wa kupiga kura!!
Mara nyingi ni ngumu kwa wanadamu kuukubali ukweli ila uhalisia ndo huo..yaani pale watakuwa wamekuja kutokana na ile helikopta nadhani ilipiga misele kwenye viunga vya babati na watoto kwa kupenda ushabiki maandazi wakajazana kwenye tukio ..,pale walikuwa wapo wapo tu wanasubiria labda thoda au maji!!du hao watoto hasa washule za msingi sijui kama wanaelewa chochote. maana akija mgombea mwingine wanajaa hivyo hivyo
Naomba Mungu na siku ya Uchaguzi watu wawe wengi hivi ili TUWAANGUSHE CCM KWA KISHINDO na kuwazui kuiba kura kama walivyo zoea
Mkuu, ebu angalia hizo picha vizuri! wapiga kura hapo ni 20% tu, hao wengine hawana sifa za kupiga kura.
kwa sababu hana kambi ya mafisadiMhhhh! Kuna mambo yanatisha.
Hebu angalia mgombea urais (rais mtarajiwa) anavyolindwa. Katika picha zote nne utaona kuna Polisi wa kawaida 1, Usalama barabarani 3 na wakampuni binafsi(kama si mgambo wa Halmashauri) 2.
Hivi kwa umati huu likitokea la kutokea watafanya nini hawa? hawafu hawajakaa kama walinzi bali kama wasikilizaji.
Kaaazi kweli kweli.
Naona watoto wengi hpo mbele ambao kwa mtazamo wangu hawajitimiza hata umri wa kupiga kura!!
Naona watoto wengi hpo mbele ambao kwa mtazamo wangu hawajitimiza hata umri wa kupiga kura!!