Dr. Slaa na mbinu ya Hitler


Huna hoja sema tukusaidie nini .:what::banghead:
 
Pengo alituambia kikwete ni chaguo la mungu, hii ilikuwa baada ya kuahidiwa mambo mengi ikiwemo mkombozi bank plc,

Kiwewe cha Pengo kwenye ahadi hizo kimempelekea kuwa na maoni yanayotofautiana na baraza la maaskofu, hii yote kutokana na ahadi alizoahidiwa Pengo zinaonekana kushtukiwa!!!!!!!!!

AMEWEWESEKAJE??
 
Endelea kutunga mwishowe utatoa kitabu, uwauzie wajinga wenzio.
 
Unasemaje kuhusu mbinu aliyotumia rais Kikwete kuahidi waislamu kuanzisha mahakama ya Kadhi ili aingie madarakani 2010?
 
Hivi kumbe watu Wa buku 7 bado mpo! Haya jumatano kachukue buku zako
 
Hata sisi 2010 tuliambiwa tumuunge mkono muislamu mwenzetu atatupatia mahakama ya kadhi.
 
Huyu babu anatamaa sana anaweza hata kumuuza mchumba wake ili apate urais
 

mbona humsemi pinda alivyo na ushawishi kwa pengo na hadi kumpa maelekezo ya kumsaidia kupunguza makali ya lile tamko la maaskofu,na wote wako kambi ya ufipa kwenye kinyanganyiro hiki cha urais ndani ya ccm?
 
Huyu babu anatamaa sana anaweza hata kumuuza mchumba wake ili apate urais

kati ya Dk slaa na lowasa nani mwenye tamaa ya urais na kati ya Dk slaa na zzk nani mnafiki na msaliti anayeweza kuhatarisha usalama wa nchi hiii?
 
Miaka zaidi ya 70 hana mke ana mchumba! Hatumpi urais asiyekuwa na mke atainajisi ikulu yetu.
 
Huyu jamaa mkulima wa kiteto anatakiwa akamatwe na kuhojiwa haya.
 
Kamanda umemchanganya Pengo na Kilaini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…