Dr Slaa na Kubenea Mfukoni mwa Lowassa!

Status
Not open for further replies.
Wewe ni bonge la zoba yani,unamjua vizuri Deus Mallya au unajisemea tuu,shame on kibabu
 
KUMBE LOWASA NI WAKILI!! Nilikuwa sifahamu asee
 
Hapa kazi ipo jamani, hivi ukitafutwa uthibitishe utaweza kweli?
 
Huyu ni yule yule asiye jua kutumia herufi kubwa na kiingerza kwake ni Maimuna. Karibu Muhadhiri aka Malaria ya Kichwa naona milembe hutaki kukaaa. Kama nchi tuna tatizo kubwa la umeme hebu acha mambo ya kwenye mihadhara yako.

nilikuwa sijui
 
Hivi bado unaimani na Kubenea ambae amegeuka na kuwa Dalali wa Lowassa.

Tangu alipojongwa nyumba na kudhaminiwa kusoma nchini Afrika ya kusini,kubenea amebadilka kutoka kubenea mwanaharakati na kugeuka kuwa Dalali.

Hana credibility yoyote ya kunikuliwa,ni mtu ambae Njaa ipo kichwani.

Hivi ile kesi ya Kafulila mliyodai kuwa awalipe Bil 300 mpaka leo bado mnaiendeleza au Mliufyata?

Hivi bado pesa ni za Mtu binafsi ai mmekubaliana wazalendo kuwa pesa zilikuwa za umma.

Msalimie Werema na Mama Tibalijuka,mwambie Mboga za Mil 10 anaenda kubeba na Suzuki Carry?

Ha ha ha,tafuta kazi kijana hiyo unayofanya ni kazi za ukibaraka.
 
Na wewe ni kibaraka wa Act.

swissme
 
Mwl Kaijage naye!!
Mkuu utatukanwa mno kwa uzi huu. Subiri uone!!
 
Ile nyota kwenye bendera ni ya ACT- Tanzania au ACT- wazalendo? Kwako mwl Kaijage
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…