Olaigwanani lang
JF-Expert Member
- Apr 26, 2012
- 546
- 179
Naleta pendekezo langu kwa wanasiasa tajwa waanzishe chama kipya cha siasa pamoja, maoni yangu sii kwamba vyama vilivyopo vimepitwa na wakati, La hasha bali ninaisi tutaona siasa za burudani hapa Tanzania za aina yake na tupime uwezo wao kisiasa.