Dr. Slaa & Lowassa karibuni chama cha ACA tarajiwa

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,305
4,379
Dkt. Slaa na Mh. Lowasa MNAHEKIMA KULIKO UPINZANI. MNAPASWA KUUNDA CHAMA KIPYA....karibuni A C A ikipata usajili.

Wiki hii ikiwa inaishia Mh. Edward Lowasa aliongea maneno ya busara sana kuwaasa wapinzani wenzake kuacha kushadadia kila jambo Bali wajikite kufanya tafiti ili wapate hoja za kushinda 2020 na kuongoza serikali.

Wiki hii pia Dkt. Wilbroad Slaa naye kaongea kauli yenye kuelekea kufanana vilevile kuasa kuacha kukurupukia makelele kutoka CCM na kuwataka kujenga hoja za kuwaimarisha wapinzani.

NB: Nachojua Mimi Upinzani wetu nchini si wakushika Nchi Bali kuongeza wabunge tu. Na ndio maana wengi hawanipendi kwa kuongea ukweli, hamuwezi kukamata nchi kama hamjajua huko kijijini Itugunhu na Busoka inyembe wanamatatizo gani ya msingi. Lazima tuwe na dhamira nasio kudandia kila jambo hata ambalo halina maana na mnajikuta mmewapa kick wenzenu bila kujua. Mfano mlinichukia Mimi Deo Kisandu mkakataa kunisapoti mkaona mmusapoti Bw. Polepole kwa nguvu zote mwisho wa siku akawakimbia na kupewa Ukuu wa Wilaya. Hata hivyo kuna kijana mwingine mnaye pale Chadema anajifanya Mwanaharakati naye atawakimbieni soon. Siku Njema.

Deogratius N Kisandu
From Tanzania, East Africa.
 
WANAHEKIMA KULIKO UPINZANI....
Hicho chama unachowakaribisha ni tawala au cha watu gani?
 
ACA ndio mnyama gani.Ni yale yale ya SAU nakadhalika.
 
mkuu deo hebu kwanza anza kutoa kadi za chama, halafu itisha uchaguzi maana niko interested na nafasi ya uenyekiti sasa wewe chama hakina kadi, hakina uongozi na ofisi iko mfukoni mwako unataka watu kama slaa wajiunge
 
Huyu Deo Siyo bure, lazima kuna vitu havikosawa kichwani. Maana sijawahi muelewa hata siku moja!
 
Dkt. Slaa na Mh. Lowasa MNAHEKIMA KULIKO UPINZANI. MNAPASWA KUUNDA CHAMA KIPYA....karibuni A C A ikipata usajili.

Wiki hii ikiwa inaishia Mh. Edward Lowasa aliongea maneno ya busara sana kuwaasa wapinzani wenzake kuacha kushadadia kila jambo Bali wajikite kufanya tafiti ili wapate hoja za kushinda 2020 na kuongoza serikali.

Wiki hii pia Dkt. Wilbroad Slaa naye kaongea kauli yenye kuelekea kufanana vilevile kuasa kuacha kukurupukia makelele kutoka CCM na kuwataka kujenga hoja za kuwaimarisha wapinzani.

NB: Nachojua Mimi Upinzani wetu nchini si wakushika Nchi Bali kuongeza wabunge tu. Na ndio maana wengi hawanipendi kwa kuongea ukweli, hamuwezi kukamata nchi kama hamjajua huko kijijini Itugunhu na Busoka inyembe wanamatatizo gani ya msingi. Lazima tuwe na dhamira nasio kudandia kila jambo hata ambalo halina maana na mnajikuta mmewapa kick wenzenu bila kujua. Mfano mlinichukia Mimi Deo Kisandu mkakataa kunisapoti mkaona mmusapoti Bw. Polepole kwa nguvu zote mwisho wa siku akawakimbia na kupewa Ukuu wa Wilaya. Hata hivyo kuna kijana mwingine mnaye pale Chadema anajifanya Mwanaharakati naye atawakimbieni soon. Siku Njema.

Deogratius N Kisandu
From Tanzania, East Africa.
We nawe ni miongoni mwa vijana manao litia hasara taifa maana hamna faida yeyote ile kwa watanzania hawa wanayo ipata kutoka kwako.
 
Back
Top Bottom