Dr slaa live viwanja vya shycom shinyanga

Kama hataki kutupa picha za rais wetu, mods funga hii thread
 
Tunahitaji picha za mkutano wake, rais wetu ajae. Magamba waanza kwa kasi ya ajabu kuiibia nchi kabla 2015 (chukua chako mapema - ccm)
 
Napata shida sana na wanaomwita Dk. Slaa leo hii eti Rais hili linatoka wapi hakika hii ni kuiviza katiba waziwazi na kuleta ushabiki usiokuwa na tija kwa Taifa letu.
 
Napata shida sana na wanaomwita Dk. Slaa leo hii eti Rais hili linatoka wapi hakika hii ni kuiviza katiba waziwazi na kuleta ushabiki usiokuwa na tija kwa Taifa letu.

jk ndo aliinajisi katiba wewe! wenye nchi tulimchagua dr. Slaa, kwa kukusaidia chunguza ni nani anaheshimiwa na watz kati ya mtumia majeshi yetu jk na Dr. Slaa.
Unapata shida kwa kuwa unakula miguu ya kuku kama wajawazito, n.b sijakutusi bali nimesema ukifanyacho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…